Description
Ni matumaini yetu ya kwamba kitabu hiki cha Nyimbo kitathibitisha kuwa kitabu chenye mvuto na baraka nyingi kwa mtu mmoja mmoja na watu mikutanoni wanaotaka kumwabudu Bwana, kumwimbia sifa zake nyumbani, chuoni na kanisani. Nyimbo nyingi katika kitabu hiki zimepigwa chapa kwa mara ya kwanza katika lugha ya Kiswahili.
Twapenda kujulisha hisani na ustahivu wa watungaji na watoa vitabu zao nyingine ziliochaguliwa kutoka vitabu vya:
- Nyimbo Standard cha Church Missionary Society
- Nyimbo za Kikristo cha Seventh Day Adventist
- Tenzi za Rohoni cha Mennonite Mission
Nyimbo zilizotolewa na vitabu vilivyotajwa juu zaonekana kwa kurasa kama NS, NK and TR
Reviews
There are no reviews yet.