Description
SEHEMU ZA BIBLIA KWA WATOTOTO: Sasa mafundisho na masimulizi muhimu kutoka katika Biblia yamechaguliwa na kuchapishwa hapa kwa ajili ya watoto wadogo.
Haya yamepangiliwa kwa kuoanisha
- Maandishi ya herufi kubwa
- Mistari ya Biblia ya Kiswahili cha Kisasa (Biblia Habari Njema)
- Mtiririko mzuri wa masimulizi
- Picha na vielelezo vya kuvutia
Reviews
There are no reviews yet.